6/17/2022

Gari aina ya IST mali ya Msanii Timbulo Timbulo Limeteketea kwa moto Ubungo Riverside

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Gari aina ya IST mali ya Msanii wa Bongofleva Ally Mohamed Timbulo @timbulo limeteketea kwa moto Ubungo Riverside Jijini Dar es salaam kutokana na kinachoaminika kuwa ni hitilafu ya umeme.


Timbulo amesema hakuna yeyote aliyejeruhiwa kutokana na tukio hilo na yeye hakuwepo kwenye gari wakati huo ila tu ni hasara ya gari lenyewe lenye thamani ya milioni 14 ambalo hakuwa amelikatia BIMA kubwa.


"Gari lilikua na shoti ndani kwa ndani na inavyotokea matatizo kama hivi ndio Mtu unaona lazima wa kuwa na BIMA kubwa, unabaki unajutia tu ningekuwa na bima kubwa ningekua nalipwa gari jingine, Watu inabidi tujifunze BIMA ina umuhimu wake"

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger