Gigy Money Asikitishwa na Uamuzi wa Malkia Karen Kumpeleka Mtoto wa Miezi Nane Boarding School"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Gigy Money ambaye anafanya vizuri hivi sasa na ngoma yake ya #pressure ameweka wazi kuamka na mood ya kumpunguza @malkiakaren hii leo June 29 kwenye ukurasa wake wa Instagram kwa kile Karen alicho kipost mtandaoni kuhusu kuamua kumpeleka mwane wa miezi nane Boarding school, ili apate muda wa kupambana na maisha. Kupitia IG yake, karen aliandika...


“SINA NAMNA.. BOARDING SCHOOL ..

Nisamehe Mamaako Napambana­čś×

Ila Siwezi Kukaa Na Simanzi Ukiwepo..

Kaa Huku Shule Na Mimi Nipambane... ILOVEYOUSON..

...GOOD BYE CALEB” Karen


Kwenye XXL ya Clouds Fm, Gigy amedai, ameona tu ampunguze ndugu yake kareni, maana angeandika kitu mtandaoni uwenda kingekuwa kibaya zaidi, ila kama mama amesikitishwa na Post ya Karen, huku akidai huwezi jiweka busy kwenye utafutaji wa pesa na ukawa na amani wakati mtoto wako analelewa kwenye mikono ya watu wengine. Mbali na Gigy, watu wengi wameonekana kusikitishwa na maamuzi ya msanii Karen.


Haijulikani kama ni kiki,kitu ambacho pia si sawa kutaka trending kupitia mtoto, au yuko serious (Karen) na anacho kiongea.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pumbavu gani uyu,anatafuta sana Kiki za kijinga yeye anachofanya kwa mwanae ndo vizuri,anakafundisha ukahaba,atakuwa na akijua ukweli maisha yake yameharibiwa na Mama yake,hatomsamehe iyo dhambi,miaka haigandi wanakua na watajua ukweli wote, Sa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad