Tayari wawili hao wameshavalishana pete za uchumba na kinachofuata ni ndoa ambayo bado haijajulikana ni lini.
Kajala Masanja ni mkristo huku mpenzi wake Rajabu aka Harmonize akiwa ni muislam.
Jana muda mchache baada ya kuvalishana pete, Harmonize alionekana akitumia ishara ya msalaba hali ambayo imezaa maswali mengi kwamba atakuwa amebadili dini kumfuata Kajala.
Una mazamo gani kutokana na hiyo video hapo chini?