6/01/2022

Habari Nzuri..Bei za Mafuta Zapungua..

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

Bei mpya za mafuta kwa mkoa wa Dar es Salaam zilizotangazwa na EWURA na zitaanza kutumika rasmi kuanzia kesho june 1, na hii ni baada ya serikali kutoa ruzuku.

Petroli: TZS 2,994

Dizeli: TZS 3,131

Mafuta ya Taa: TZS 3,299

Viwango vya bei endapo serikali isingetoa ruzuku;

Petroli: TZS 3,301

Dizeli: TZS 3,452

#KitengeUpdates
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger