6/17/2022

Haji Manara, Amemualika Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz Kutumbuiza Wiki ya Wananchi

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara, amemualika msanii wa muziki wa Bongo Fleva Diamond platnumz kutumbuiza katika kilele cha wiki ya wananchi.

Haji kupitia ukurasa wake wa kijamii wa instagram leo ameandika...✍️

"Ndiyoooooo, mwamba tuombe uhai tu, lakini kilele cha wiki ya wananchi, inakungoja wewe mwanaume tunatarajia show kubwa zaidi kuwahi kufanyika Tanzania toka tupate uhuru"


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger