6/12/2022

"Hakuna Askari aliyefukuza mwananchi"- Serikali

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Serikali imesema kwamba hakuna Askari yeyote aliyekweda kumfukuza mwananchi wa Loliondo kwenye eneo lake, bali kinachofanyika ni zoezi la uwekaji wa mipaka kati ya hifadhi na eneo la wananchi.

Kauli hiyo imetolewa hii leo Juni 12, 2022, Jijini Dodoma, na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa.

"Kinachofanyika Loliondo hakuna Askari aliyekwenda kumfukuza mwananchi wa Loliondo aondoke kwenye eneo lake, lile eneo lina KM za mraba 4000 serikali kwa makubaliano na wananchi tulitenga eneo la KM 2500 litumiwe na wananchi na KM 1500 libaki kwa ajili ya hifadhi," amesema Msigwa

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger