JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA
Kupitia post hiyo ndefu ya Harmonize aliyoiita appreciation post akieleza majuto yake na mapito aliyopitia baada ya kuachana na muigizaji huyo, kajala aliamua kuacha comment yake kwa kuweka emoj zinazo ashiria kukubali pamoja kopa jekundu (ππΌππΌππΌ❤) hii ikiwa ni mara ya kwanza tangu wawili hao walipo tofautiana kwa zaidi mwaka mmoja uliopita.
Mbali na hayo pia @kajalafrida ametumia insta story yake kuweka ujumbe unaotafsirika;
"Maumivu yote ni ya muda. usifanye uamuzi wa kudumu kutokana na maumivu ya muda na hali ya muda" — Kajala Masanja........
0 Blogger:
Post a Comment