6/23/2022

Huddah Monroe "Mimi ni Bora Niolewe na Mtu Muhuni"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Mrembo Huddah Monroe toka Kenya ametoa kali tena mtandaoni baada ya kudai ni bora kuolewa na mwanaume mhuni kuliko mtu wa ibada.


@huddahthebosschick ambaye ni mjasiriamali akijihusisha zaidi na biashara za urembo, amesema wengi wa watu hususani watu mashuhuri kama vile wanasiasa na wahubiri kuna baadhi yao wana historia ya kuhusika katika kashfa ambazo zinaweza kuitwa wizi.


"Hata wahubirii ni wezi, wanasiasa wenu ni wezi pia, napendelea kuolewa na mhuni haraka sana kuliko mwanamume wa ibadani," - ameandika Huddah kupitia insta story yake.


Aidha, Huddah wiki iliyopita akiwa kwenye moja ya mahojiano alisema kwamba atafunga ndoa hivi karibuni ingawa hakumtaja muoaji.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger