6/05/2022

Huenda Harmonize na Kajala Wamerudiana Tayari Soma Hii Meseji Aliyoandika Harmonize

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

Kupitia Ukurasa wa Instagram wa Staa @harmonize_tz Amendika..

"This is not Apologise Post ..!!!! Its Appreciation Post To Someone that I was Almost to Lose 🥲 Wakati Dunia Nzima Inasema Haiwezekani Ulisimama Ukasema Inawezekana YOU LOVED ME Mbaya Zaidi Ulikutana na Disappointment 😞 Ambayo Ilimpa Nguvu Na Ujasili Wa Kila Mtu Aliekaribu Yako Kusema Mimi Sio Bina Damu Wakuwa Hata Karibu Yako I'm sure Uliumia Sanaa ...!!!! Still Hukunikatia Tamaa Wakati Mwingine Binadamu Huingia Kwenye Mahusiano Ukiamini Kwamba Unaweza Msahau Yule Uliekuwa Nae Mwanzo Bila Kuwaza Niini Kiliwafanya Muwe Pamoja Nilipitia Hicho Kipindi Na Picha Zika Mwagika Mtandaoni Na Nikajiona Nimemaliza Wala Sikujali Maumivu Yako STILL ulikaa Kimya NO INTERVIEW RICHA YA KUAHIDIWA MARUNDO YA PESA AMBAYO UNGEWEZA NUNUA HATA HIVYO VIGARI WANAVYO VIONA NI KITU CHA MAANA SANA ...!!! Nataka Ujue Kitu Hiki Your my Inspirational My life was so Crayz Nilinenepa nikawa Mbaya Kwa Pombe Na Stress Pale Pepo La Ujana & Ujinga Lilipo Nitoka Na Kukaa Chini Niligundua Kiasi Gani Nimekuumiza NA UKAAJI WAKO KIMYA NDO ULINITESA Zaidi Ya Vyote Walivyo Kushauri Marafika Na Hata Watu Ninaowaona Wa Karibu Yangu Zaidi. Your my Inspirational YOU MADE ME TO GO BACK TO THE GYM STOP ALCOHOL AND BE BETTER AGAIN Mazito Magumu Tuliyo Yapitia Ndo Yamenifanya Niamini YOUR WOMAN OF MY LIFE Unastahili Kila Aina Ya Furaha Umenionyesha Kiasigani YOUR STRONGER I will do Everything that makes You Happy 💪🏼 I have Seen People Talking About My New Tatoo Let me Say This YESS I HAVE IT'S BIG ONE COUSE nothing will change that I Did VERRY WRONG to my Family 🥲 Nothing will Change that THIS IS MY FAMILY STILL NOTHING CAN STOP ME BEENG PROUD OF MY Family Mguu Wangu Wakulia Utasema Sorry mpaka Siku Yangu Ya Mwisho ..!!!! NAJUA KUNA WANAO NIONGELEA MANENO YAKUNIUMIZA ..!!!! WAJUE TUU NAYAONA NA YANANIUMIZA KWELI YANANIFANYA NIJIIONE MKOSEFU WA KWANZA DUNIANI Nivile Sina Lakufanya Nabaki Kuwaombea Yasiwakute Nikiumia Mimi inatosha 🙏 im jus Trying to Be BETTER MAN AGAIN Kama Bina Damu Yeyote Mwenye Akili Timamu I LOVE YOU 💘 wife @kajalafrida"

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger