Joh Makini '"Hakuna Drama wala Kiki yoyote Ambayo imewahi Kufanywa na Wasanii wa Bongo ikawahi Kunishtua"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Mwamba wa Kaskazini Joh Makini amesema hakuna kiki wala drama yoyote ya msanii ambayo imewahi kumshangaza au kumshtua tangu waanze kufanya matukio yao.

"Hakuna drama wala kiki yoyote ambayo imewahi kufanywa na wasanii wa Bongo ikawahi kunishtua au ikanifanya nikaiamini, wanajua ni kwa sababu gani wanafanya hata watu wengine unakutana nao wakati wanapanga hiyo mipango kabla ya kwenda Public"


"Binafsi najua ni kutengeneza Attention ili watu wasikilize miziki yao lakini sijawahi kushtushwa na kiki wala drama yoyote ya msanii yeyote hapa Bongo" ameongeza 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad