Header Ads Widget


Jokate Mwegelo Afanya Jambo Hili Kwa Fred Vunja Bei, Tetesi Kuwa ni Wapenzi Zazidi



Ikiwa leo ni siku ambayo watu wanaadhimisha siku ya baba duniani, mastaa pamoja na watu maarufu wametumia kurasa zao za mitandao ya kijamii kuwatakia Happy Father's day Baba zao.

Moja ya post ambayo imezua gumzo ni post ya @jokatemwegelo ambayo imeibua maswali mengi sana.

#Jokate amempost mfanyabiashara maarufu @fred_vunjabei ameandika...

"Happy Father’s Day and New Age Mshua Masta - FFN.
Yesu akutunze, live long uzidi kubarikiwa mpaka ushangae 🙌🏽🤗"


Post a Comment

0 Comments