Katibu Mkuu ACT WAZALENDO "Kinachotokea Loliondo Hatukubaliani Nacho"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Katibu Mkuu ACT WAZALENDO Ado Shaibu amesema Chama hicho hakikubaliani na oparesheni za Jeshi la Polisi Loliondo na Ngorongoro zinazokiuka ushirikishwaji wa Wananchi na kusababisha uvunjifu wa haki za binadamu "kinachotokea Loliondo hatukubaliani nacho"


Shaibu amesema popote pale Jeshi la Polisi linakofanya shughuli zake linatakiwa lifanye oparesheni kwa haki, ushirikishwaji wa Wananchi na kwa kuzingatia haki za binadamu "kile ambacho kinatokea Loliondo ama nguvu zinazofanyika kwengineko ikiwemo hapa Songea hatukubaliani nacho"


ACT itakua mstari wa mbele kwenye ajenda ya Katiba mpya, ajenda ya Tume huru, kwenye ajenda ya mageuzi ya Jeshi la Polisi, kwenye ajenda ya mabadiliko ya uendeshaji wa siasa tutakuwa mstari wa mbele

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad