6/20/2022

Kesi ya Sabaya Yahairishwa...Sababu Hizi Zatajwa

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Aliyekuwa Mkuu wa Wilya ya Hai Mkoani Kilmanjaro Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne leo Juni 20, 2022 wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kwa ajili ya kesi yao kutajwa.

Lengai na wenzake hao wamefikishwa mahakamani hapo ikiwa ni muendelezo wa keshi inayowakabili ya Uhujumu Uchumi. Hata hivyo kesi hiyo imeahirishwa.

Kuahirishwa kwa kesi hiyo kumetokana na maelezo ya Wakili wa upande wa mashtaka, Verediana Mlenza kwamba upelelezi bado haujakamilika na kibali kutoka ofisi ya DPP na hati ya kuipa mahakama mamlaka ya kuendelea na kesi hiyo bado hakijatolewa.

Kesi ya hiyo ya uhujumu uchumi imeahirishwa hadi Julai 4, 2022.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger