Kimenuka..Faiza Ally Amtaka Mke wa Sugu Kufuta Picha ya Mtoto Wake Kwenye Page yake ya Instagram


Baada ya Mke wa Sugu kupost picha Instagram Akiwa na Shasha mtoto wa Faiza Ally Pamoja na Rais Samia, Faiza Ameibuka na Kuandika Meneno haya Hapa chini:

"Naamrisha mwanangu afutwe kwenye page ya mke wako !!! Kila mtu Ana watoto wake SITAKI NA MWANANGU ….. naombeni muende kwenye page ya baba Sasha mwambieni amwambie mke wake afute Picha ya mwanangu SIMPENDI STAKI UNAFKI !!!! #temporalypost

______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad