Kumbe Kisa Cha Kocha PABLO Kutimuliwa Simba ni Chama

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


IMEBAINIKA Kuwa kumbe kitendo cha kutimliwa kwa aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ni pamoja na kumuondoa kwake kambini jijini Mwanza, kiungo mshambuliaji wa timu hiyo raia wa Zambia Cloutas Chama.

Mmoja wa Wajumbe wa kamati ya usajili ya Simba, KD’’ amesema kuwa Pablo hakumpenda Chama tangu anaingia kikosini hapo kwakuwa hakuwa sehemu ya mipngo ya usajili wake kwenye dirisha dogo, hali hiyo ilimfanyav kujenga chuki kwa Chama kiasi cha kupelekea kugombana mara kadhaa kila Chama aliposhauri jambo hata jema.

Mbali na hivyo utaona Chama alitimliwa kwenye kambi ya maandalizi ya mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports, jijini Mwanza jambo lililomfanya Chama kutimkia kwao Zambia.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad