Kwa Hili Happiness Anatafuta Followers Kinguvu Kupitia Mtoto wa Faiza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Happiness atajwa kumchokonoa upya Faiza Ally. Mama huyo wa kambo amepost picha hiyo akiwa na Sasha kisha kuandika maneno hayo wakati Faiza alishapiga marufuku mwanae kupostiwapostiwa

Faiza siku chache zilizopita alisema Happiness anamtumia mwanae vibaya kwa malengo yake maalum na sio mapenzi ya dhati. Na sasa baadhi ya watu mitandaoni wanaonekana kukubaliana na Faiza wakidai kuwa Happiness anatafuta followers kinguvu kupitia mtoto wa Faiza ili atangaze biashara yake ya chakula kwani kila Faiza anapoongea Happy hajibu ila Happy anapata faida ya kuongeza followers wake kwa kasi sana ugomvi ukitulia followers wanasimama

Watu wanasubiri Faiza atasemaje safari hii

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad