6/20/2022

Lengai Ole Sabaya na Wenzake Kizimbani Tena Leo

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Moshi. Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne leo Jumatatu Juni 20, 2022 wamefikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kusikiliza mashtaka yanayowakabili ikiwemo uhujumu uchumi.


Juni 7, 2022  mahakama hiyo iliahirisha kesi hiyo baada ya upande wa mashtaka kueleza kuwa upelelezi bado haujakamilika.


Kesi hiyo namba mbili ya mwaka 2022 inayosikilizwa na hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama hiyo, Salome Mshasha  imekuja kwa ajili ya kutajwa.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger