6/15/2022

Mahakama Yaamuru Mashine ya Hewa iliyokuwa Inamsaidia Mtoto Archie Izimwe Baada ya Ubongo Wake Kufa..Mama Agoma

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Hakimu wa Mahakama ya Uingereza, ametoa uamuzi wa kuzimwa kwa mashine iliyokuwa ikisaidia kumpatia pumzi mtoto Archie (12), ambae alipoteza fahamu kutokana na majeraha katika ubongo wake.

Uamuzi huo umechukuliwa mara baada ya madaktari waliokuwa wakimuhudumia mtoto huyo kusibitisha kuwa ubongo wake umekufa na hautoweza kufanya kazi tena.

Hata hivyo mama wa mtoto huyo, ameonesha kusikitishwa sana na tukio hilo na kusema kuwa anachotaka yeye ni kuwa kando na mtoto wake.

Hata hivyo tukio hilo limeonekana kuwagusa watu wengi

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger