Marioo Afunguka "Nilimtumia Harmonize ngoma 30"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Marioo Toto Bad ametuambia kabla haijatoka ngoma yake ya naogopa alimtumia Harmonzie nyimbo kama 30 kisha akachagua waanze na hiyo.
"Nakumbuka nilimsikilizisha Kondeboy Harmonize ngoma kama 30, zote aliwaka nazo mixer kama kudata na yale ma-sound lakini akanambia em tuanze na hii naogopa kwanza".

"Salute sana my bro najua ngoma ulizochagua zote zitakuwa hits kubwa kama hii au zaidi tuseme Inshaalah".

Audio ya ngoma hiyo kwa sasa imesikilizwa na watu Milioni 1.6 na video yake imetizamwa mara Milioni 5.6 mtandao wa Youtube mpaka sasa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad