Marioo "Wimbo Wangu Unaofuata Kutoka Kwenye Album Yangu Utakua Wimbo wa Taifa Kama Kawaida yangu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Huenda hit maker wa ngoma ya Beer tamu @marioo_tz amesikia maoni ya mbunge wa jimbo la morogoro kusini mashariki @babutale kuhusu wimbo wake wa 'Mama Amina' na kuamua kuchapisha ujumbe katika ukurasa wake wa instagram unaotafsirika;

"Wimbo wangu unaofuata kutoka kwenye Album yangu utakua wimbo wa taifa kama kawaida yangu🌍🔥 Niamini mimi"

Ujumbe unaohisiwa huenda ni jibu kwa mbunge huyo aliyehoji juu ya wimbo wa Mama Amina kushindwa kufungiwa na Baraza la Sanaa Tanzania BASATA.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad