6/11/2022

Maskini Mwanamuziki Justin BIEBER Adai Kupararaizi Nusu ya Uso Wake...Ahairisha Show zake Zote za Mwezi Huu

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Msanii Justin Bieber ameutaarifu umma kuwa amepata virus ambazo zimeshambulia sehemu ya uso wake na kufanya nusu ya uso wake na sehemu ya sikio kupararaizi baada ya kupata dalili za ugonjwa wa Ramsay Hunt. Hii inafanya Justin Bieber kucancel shows zake ambazo alitakiwa afanye mwezi June ili apate muda wa kupumzika hadi pale hali hiyo itakapo ondoka.

Justin Bieber has cancelled a series of shows on his latest tour after a virus caused “full paralysis” on one side of his face.

The Canadian popstar said he had been diagnosed with Ramsay Hunt syndrome after a virus had damaged the nerves in his ear. He said he was suffering a “pretty serious” case in a video he posted to his Instagram page

The 28-year-old is currently on his Justice tour in North America and has cancelled performances in Toronto, Washington DC and New York.

He said: “It is from this virus that attacks the nerve in my ear in my facial nerves and has caused my face to have paralysis.

“As you can see, this eye is not blinking. I can’t smile on this side of my face. This nostril will not move, so there’s full paralysis on this side of my face.”

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger