6/14/2022

Mater Jay Atangaza Kurejesha Record Lebo yake, Amtaja Producer Huyu Kufanya Nae Kazi

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Producer mkongwe nchini,mshindi wa tuzo za Kili Music 2004,2006 na mmiliki wa MJ Production (Records), @masterjtz amekili kuridhishwa na namna soko la muziki nchini lilivyo kwa hivi sasa hasa kwenye upande wa Digital Platforms, mkongwe huyo pia ameweka wazi kuwa ana jambo lake hivi karibuni na kubwa zaidi ni kutangaza kurejesha Label yake ya Muziki ambayo ilisimama tokea mwaka 2008.


Master J amedai anacho zungumzia ni Label na sio studio, na kwenye label yake atafanya kazi na maproducer mbali mbali akianza na official producer wa Tongwe Record, @binladen_255 kwa maana anaukubali uwezo wa producer huyo na ni moja ya maproducer bora wanaopatikana nchini kwa hivi sasa.


Amefunguka haya kupitia Empire ya EFM, hii leo June 13

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger