6/05/2022

Matokeo ya Mchezo wa Mpira Kati ya Taifa Star na Niger Kufuzu AFCON 2023

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

 


Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imepata sare ya bao 1-1 dhidi ya Niger katika Mechi ya Kufuzu AFCON 2023 kwenye Uwanja wa de L’amitiĆ© Jijini Cotonou, Nchini Benin

Tanzania ilitangulia kupata bao katika dakika ya kwanza mfungaji akiwa ni George Mpole, wenyeji waliotumia uwanja wa Nchi ya jirani walisawazisha kupitia kwa Daniel Sosah dakika ya 26

Mchezo huo ni wa Kundi F, timu nyingine katika kundi hilo ni Algeria na Uganda. Mchezo ujao wa Tanzania ni Jumatano ijayo Juni 8, 2022 dhidi ya Algeria Jijini Dar es Salaam

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger