Ticker

6/recent/ticker-posts

Mayele Adaiwa Kuuzwa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, CEO wa Yanga Senzo Mbatha Akanusha

MWANDISHI Mkongwe Afrika, Nuhu Adams leo Julai 30, 2022 kupitia ukurasa wake wa twitter ameandika kuwa mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele ameuzwa kwa Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa mkataba wa miaka mitatu.

 

“South African giants Kaizer Chiefs have completed the signing of Yanga striker Fiston Kalala Mayele (28) on a three-year contract, announcement soon. Mayele was 2nd highest scorer in the Tanzania Premier League this season with 16 goals. Here we go…” amesema Nuhu Adams

 

Uongozi wa Yanga kupitia kwa Kaimu Mtendaji Mkuu (C.E.O), Senzo Mbatha amekanusha taarifa inayo sambaa kuwa Mshambuliaji wa klabu hiyo, Fiston Mayele amesajiliwa na klabu ya Kaizer Chiefs kwa mkataba wa miaka mitatu na atatangazwa hivi karibuni.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments