6/20/2022

Mbwana Samatta Arejea Fenerbahce Baada ya Mkataba Wake Kwisha Royal Antwerp ya Ubelgiji

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta pichani na wachezaji wengine, akiwa kwenye mazoezi na klabu yake ya Fenerbahce ya nchini Uturuki ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya msimu mpya wa 2022/23.

Samatta amerejea Fenerbahce baada ya mkataba wake wa mkopo ndani ya klabu ya Royal Antwerp ya Ubelgiji kumalizika.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger