6/03/2022

Membe "Sigombei Urais Mwaka 2025 ni Mama Huyu Namuunga Mkono"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

 


Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje ambaye pia alikuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT WAZALENDO mwaka 2020 Bernard Membe amesema hana mpango wa kugombea Urais mwaka 2025 kama alivyofanya mwaka 2020 na badala yake amerudi CCM ili kumuunga mkono Rais Samia ambaye tayari ameonesha nia ya kugombea tena Urais 2025.


Kuhusu utendaji kazi wa Rais Samia na kama yupo tayari kufanya kazi chini yake akiteuliwa, Membe amesema "Mstaafu Kikwete alisema tunamkaribisha Mama katika utawala huu na anafanya kazi nzuri sana kwamba akituhitaji tutamsaidia asipotuhitaji tutamshauri kwasababu kazi ya Wabobezi ni kushauri, Kiongozi ni Mtu ambaye anatengeneza njia yake ya kupita sio lazima afuate nyayo za aliyemtangulia hata kama amemrithi, Rais Samia anatengeneza dira

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger