6/22/2022

Menina Aweka Wazi Mwanaume Anayemtaka

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Menina Aweka wazi Mwanaume Anayemtaka
Ebwana eeh!! hii nayo kubwa kuliko hatimaye Msanii na mwigizaji Menina Alegria ameweka  bayana aina ya Wanaume ambao anawahitaji Kwenye Maisha Yake.

 Msanii huyo ameweka wazi kuwa hataki kabisa kudate na mwanaume suruali bali mwanaume ambaye ni mwenye mipango.

"Simpendi mwanaume ambaye ni mwanaume suruali napenda mwanaume ambaye ni mfanyakazi tunasaidiana kwenye kipato basi anaeta mzigo na mimi naleta mzigo,kusema mwanaume suruali ni yule ambaye ni tegemezi hataki kufanya kazi mtu kama wa hivyo mimi simtaki ila mtu hata kama hana pesa lakini mtu wa mipango sawa''
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger