6/01/2022

Mimi Mars Kwa Mara ya Kwanza Afunguka Kuhusu Penzi lake na Mwimbaji Marioo

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

MIMI Mars ni mwimbaji wa Bongo Fleva na mwigizaji wa Bongo Movies ambaye anasema kuwa, hana mahusiano ya kimapenzi na msanii mwenzake, Marioo bali ni marafiki tu.
Mimi Mars amesema hayo wikiendi iliyopita katika uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya wa La La aliyomshirikisha Marioo.

Mimi Mars anasema; “Sisi (yeye na Marioo) tupo kwenye mahusiano ya urafiki, but imekua imefikia hatua watu wanasema ni mahusiano ya kimapenzi…”
Kama utakumbuka, Wimbo wa La La ni wa pili kwa Mimi Mars kumshirikisha Marioo, wa kwanza ni Una ambao alimshikisha pia Young Lunya alikuwepo.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger