6/11/2022

Mke wa Profesa Jay Afunguka "Akili ya Mume Wangu iko Sawa kwa Asilimia 100 Anachohitahi ni...."

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Mke wa Profesa Jay amesema akili ya Mume wake iko sawa kwa asilimia 100 na kwamba anachohitaji kwa sasa ni kupumzika baada ya kuruhusiwa jana kutoka Hospitalini Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa siku 127.

“Anaongea, akili yake iko asilimia 100 na hamna kitu ambacho amesahau na hata wewe ukitokea nina uhakika anaweza kukumbuka kwamba mmeshawahi kukutana, yuko very fine kwenye sekta hiyo”

"Kuhusu afya asilimia 100 Serikali ilishughulikia, vitu ambavyo tulikuwa tunadeal navyo ni vitu vidogovidgo chakula, usafiri lakini kwenye sehemu nzima ya dawa, kulala na mengine ambayo yanahitahika Hospitali Serikali ya Mama Samia iligharamia ndio maana tuko hapa kumshukuru hasa Rais Samia kwa kusimamia hili pamoja na Serikali yake" #MillardAyoUPDATES

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger