6/12/2022

Mrembo wa Jux Huddah Monroe Afichua SIRI "Niliolewa Nikiwa na Miaka 19 Nikakimbia Ndoa"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Mrembo na Video vixen aliyependezesha wimbo wa #jumajux Simuachi" kutoka +254 kenya🇰🇪 Huddah Monroe; amefunguka kuwa akiwa na umri wa miaka 19 aliolewa ila hawakupata mtoto kwa kuwa mumewe wakati huo alikwa ni mtumiaji wa dawa za kulevya.


“Nilikuwa kwenye ndoa (19), hatukuwa na mtoto na tukaachana kwa sababu mwanaume alikuwa mlevi wa dawa za kulevya! Sikuwa maarufu kwa hivyo sikuhitaji kuitangaza! So naongea kwa uzoefu. Si mzaha nyinyi nyote! Usiku mwema! Hiyo ndiyo siri yangu kubwa.” Ameandika Huddah katika Instastori yake akijibu swali la moja ya shabiki wake instagram.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger