Msami Aweka Wazi KESI yake Kutuhumiwa Kuua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

  


Msanii Msami Baby ameiambia PlanetBongo ya East Africa Radio kuhusu kupata msala wa kesi ya kuua mwezi wa pili mwaka huu ambayo ilimfanya kukaa ndani kwa wiki mbili.


"Mwezi wa pili nilipata matatizo kidogo, nilishutumiwa kuua. Tulienda swimming jamaa mmoja akafariki ikaonekana labda sisi tumemuwekea madawa, kilichotusadia kulikuwa na CCTV Camera"


"Nilivyokamatawa nilikosa dili kubwa la Milioni 10, sikuwa na wasiwasi kwa kuwa hawakuwa na ukweli wa ile kesi, nilikaa wiki mbili kituo OysterBay" amesema Msami Baby 


Planet Bongo ya East Africa Radio ni kila siku ya J3 mpaka Ijumaa kuanzia saa 7:00 mchana mpaka 10:00 jioni.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad