Msemaji wa Simba Ajitapa " Safari Hii Litakufa Jitu Fedha Tunazo"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Afisa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba, Ahmedy Ally, amesema Rais wa heshima wa klabu hiyo Mo Dewj, ametenga fedha za kusajili kila mchezaji atakayehitajika katika klabu hiyo.

Ahmedy amesema leo Juni 11, wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la Simba Kisukuru lililopo Tabata, jijini Dar Es Salaamu.

"Kila ambae atasajiliwa atawekwa hadharani wana Simba mtaonyeshwa, wana Simba mtaambiwa.

"Niwaambie tu kwamba safari hii litakufa jitu, tunafanya usajili wa maana sana kwasababu fedha ipo.

"Rais wa heshima, Mohammed dewj ametenga fedha ya kutosha ya kuweza kusajili kila mchezaji ambae tunamhitaji, na hatimae anatua Simba Sc.

"Ukiona tumeacha kumsajili mchezaji pamoja na kwamba ni mzuri lakini jua kwamba fedha walioitaka haifanani na thamani ya ya huyo mchezaji,

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad