Mtoto Mtazania Mwenye Kipaji cha Kucheza Mpira wa Miguu Barka Seif Apata Dili Nono Ajax ya Nchini Uholanzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


 Zikiwa zimesalia siku chache Mtoto mwenye kipaji cha kucheza mpira wa miguu Barka Seif (8) kurejea Academy ya Ajax ya nchini Uholanzi leo yeye na Wazazi wake wamepata mwaliko Bungeni.


Mtoto huyo amecheza mpira katika Academy na vilabu vikubwa duniani ambavyo ni KRC GENK ya Ubelgiju, Bacelona ya Hispania pamoja na Timu ya Ajax ya Uholanzi vilevile amepata kuwa Mchezaji Bora wa mwaka 2021 na amepata fursa ya kucheza Timu ya Wanafunzi na kusoma nchini Uholanzi mwaka 2022.


Baba yake mzazi ameeleza safari yake kuelekea Ajax “Sisi tumeambiwa twende na mambo mengine yatakwenda kujulikana huko lakini kwa namna nonavyoelewa pengine itakuwa ni moja kwa moja sisi hili jambo limetupa nguvu na yeye limempa nguvu sana na sisi tunawasaidia watoto ili waje kulisaidia Taifa lao"

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad