Mwajiku Amlipua Diamond Kisa Yanga 'Leo Unaiona Simba Mbaya Wakati Ulikula Milioni 300 zao Hakuna Aliyekusema"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwajiku amlipua Diamond baada ya kumpongeza Haji Manara kwa kutwaa ubingwa na Yanga huku pongezi zikigusia sakata la Haji na Simba, Mwijaku ameandika..


“MWAMBINO-WAACHEE YANGA WASHANGILIE UBINGWA WAO KWA AMANIII .Acha kutafuta kiki kwa kila kitu . Huo ndio unafki tunao semaga ..!


Siku zoote umekaa kimyaa leo ndio kihele hele hichoo . Mbona wakati mnakula pesa ya #moodewji ya ile nyimbo hukusema asante ?


Mlitengeneza wimbo wa singeli ya simba na kuparfom taifa pale kwa milioni mia 3 ,uliona wapiii ? Na hakuna shabiki wa simba alie kusimanga wala kukusema, Leo unaiona simba mbaya .


Muda mwingine tuwe wakweli kwenye maisha . Tukisema mtu alie kula pesa ya simba hapa tanzania . Wewe na huyo mwenzio woote mlikula pesa kuliko hata sisi ambao tuliambulia laki 8 8 za kila mwezi .


Kama unataka kwemda yanga nenda sio lazima uanze kuzu gumza mapungufu ya simba . Hakuna alie kamilikaaaaa.”


Mwambino bana

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad