6/12/2022

Mwamba Hapa Star wa TIK TOK Marekani Ajitabiria KIFO na Kweli Akafa Kweli...

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Staa wa mtandao wa TikTok nchini Marekani, Cooper Noriega, amefariki dunia jana saa chache baada ya kupost video ikiwa na maandishi yanayosema, nani mwengine anayefikiria atakufa kwenye umri mdogo?

Taarifa za awali ziliripoti kuwa simu ya msaada ilipigwa siku ya Alhamisi baada ya kugundua kuwa Cooper mwenye umri wa miaka 19, hajitambui katika eneo moja la kuhifadhia magari huko Los Angeles nchini Marekani.

Watoa msaada walifanikiwa kufika eneo la tukio lakini hawakufanikiwa kuoko maisha ya kijana huyo.

Shahidi mmoja amesema, Cooper hakukutwa kwenye gari yake na wala hakuwa na jeraha sehemu yoyote kwenye mwili wake.


Taarika kutoka TMZ zinasema hadi sasa haijajulikana nini kimemuua kijana huyo mdogo.

Noriega aliweza kutumia vizuri mtandao wake wa kijamii tiktok ambao na kufikisha wafuasi milioni 2.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger