Mwanamke Aliyeuawa kwa Kupigwa Mawe Kuzikwa Kesho

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Mwanamke aitwaye Angel Mwaisumwa, aliyeuawa na wananchi kumpiga mawe Juni 10, 2022, wilayani Kiteto kwa tuhuma za kununua viungo vya binadamu atazikwa Jumatatu katika Kijiji cha Matui wilayani humo baada ya familia yake kushindwa kumsafirisha kwenda kwao Mbeya.


Familia ya Angel imeeleza kwamba imefikia uamuzi huo kwa kuwa hawana uwezo wa fedha wa kusafirisha mwili hadi mkoani Mbeya.


Hadi sasa jumla ya watu 15 wanashikiliwa na jeshi la polisi wilayani humo kwa kuhusishwa na tukio la mauaji ya mwanamke huyo

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad