6/12/2022

Mwanamuziki Bob Junior Atoa Mpya 'Mimi Ndio Msaniii Mzuri wa Sura Kuliko Wote"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

 


Staa wa muziki nchini, Bob Juniortz , ameeleza kuwa yeye ni msanii mzuri kuliko yeyote nchini Tanzania.


Alisema hivyo wakati akijibu swali la mtangazaji wa kipindi cha Zege, @tony_sixteen Juni 7 2022, lililouliza kuwa ni mambo gani ambayo msanii huyo anaamini ni wa kwanza kufanya Tanzania kabla ya wasanii wote?


"Baada ya Mr Nice mimi ni mtumbuizaji bora, kwasababu si nakatika viuno sana, yes i'm second one na sio second one mimi ni namba moja kwasababu Mr Nice kazeeka"


"kuwa msanii handsome boy kuliko yeyote nchi hii, mimi ndio handsome boy, msanii mzuri, msanii produza, msanii muimbaji"


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger