Ticker

6/recent/ticker-posts

Mwanamuziki Nandy Afurahishwa na Tukio la Harmonize na Kajala..Afunguka HayaMwanamuziki @officialnandy ameonyesha kufurahishwa na tukio la #harmonize na #kajala Jana kuvishana pete usiku wa jana.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, amewapongeza wawili hao na kuandika "Aaaaaaw­čą░ love birds! hongereni sana kwa hatua impendezayo Mungu na mkawe na furaha milele."Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments