6/11/2022

Nandy na Billnass Watarajiwa Kufunga Ndoa Mwezi huu wa Sita

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPAFaustina Charles au Nandy na Wiliam Lymo au Bilnass au Nenga; ni mastaa wakubwa wa muziki nchini Tanzania ambao hayawihayawi sasa yanaenda kuwa kwani ndoa yao ni mwezi huu.

Wawili hao wamekuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu ambapo wamekuwa wakipita kwenye milima na mabonde na vipindi vya kupwa na kujaa kwa maji.


Nandy na Billnass Mapumzikoni
Hivi karibuni Nandy na Nenga walikwenda nchini Uturuki kwa ajili ya shopping ya gauni la harusi na suti kuonesha kwamba maandalizi yanaendelea.

Katika mahojiano na Gazeti la IJUMAA hivi karibuni, Nandy alisema ndoa yake hiyo itakuwa ni baab’kubwa kwani itafunga mitaa.


 
Kwa mujibu wa baba mzazi wa Nandy, Charles Mfinanga siku ile ya kuvishana pete ya uchumba, ndoa hiyo ilipangwa kufungwa Juni 25, 2022 (mwezi huu).
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger