Naombeni Ushauri Kila Nikifanya Mapenzi Bila Kinga Napata Ujauzito

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Mimi ni Msichana wa Miaka 25 , Tatizo langu ni kuwa kila nikifanya mapenzi na mvulana bila kutumia zana lazima nipate mimba, nilianza kuwajua wanaume toka nikiwa na miaka 21 siku niliyotolewa bikira nilipata mimba pia ikanibidi niitoe kwa vile nilikuwa nasoma ..sasa kuanzia kipindi hicho nikifanya tu lazima nipate mimba nimeshatoa mimba kumi na tano mpaka sasa, Nimejaribu kufuata Calender lakini wapi...Je hili ni Tatizo ama nimelogwa ? Nimekuwa mtu wa kufanya abortion kila wakati mpaka naogopa sasa nisije haribu kizazi changu nikashindwa kuzaa muda muafaka wa kuwa na mtoto....................


Help pliz


Mimi Mdau ..Msinitukane jamani

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jinadae na Majibu kwa Muumba wako mana hao watoto uliowaharibu ni wengi mno.

    ReplyDelete
  2. Katubu dhambi zako kwa kumaanisha kuziacha mungu atakusamehe na umrudie yeye atakugeuza

    ReplyDelete

Top Post Ad