Nay wa Mitego "Bado Sijamkubali Kusah Anaendekeza Sana Mapenzi na Kuwa King'asti

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


June 8 mwaka huu,Jiandae kukutana na Tag la @naytrueboytz akiwapa shavu @staminashorwebwenzi pamoja na Mabantu, linaloitwa Atakuoa Nani?. Nay ameeleza kuwa itakuwa ni moja ya kolabo kali kuwahi kufanyika kwenye muziki wake, ilibidi awaongeze Mabantu kuleta ladha zaidi maana chemistry yake na Stamina ishawahi kuwa kubwa kupitia wimbo wao “Huko kwenu vipi” uliotoka miaka ya nyuma kidogo.


Lakini pia kama unakumbuka, Nay alishawahi mtaja @_kusah_ kama msanii mzuri sana lakini tatizo lake ni kuwa ameendekeza kuwa king'asti, kayapa Mapenzi kipaumbele. Hasa licha ya Kusah kuachia ngoma kali back to back, Nay amedai bado hajamshawishi na hawezi futa kauli yake.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad