6/05/2022

Nigeria: Mume wa Marehemu Mwanamuziki wa Injili Osinachi Afikishwa Mahakamani Kwa Mauaji Haya Ndio Yaliyojiri

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

 

Peter Nwachukwu ambaye ni Mume wa Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Osinachi Nwachukwu (aliyefariki mwezi Aprili) amekana mashtaka yote yanayohusiana na kifo chake na madai ya unyanyasaji katika ndoa yao

Peter anakabiliwa na jumla ya mashtaka 23, baadhi yakihusiana na Unyanyasaji wa Nyumbani (unyanyasaji wa kihisia na kisaikolojia) na kuua bila kukusudia

Baadhi ya nyimbo alizoshiriki Osinachi ni kama Nara Ekele akiwa na Mchungaji Paul Enenche na Ekwueme akiwa na Prospa Ochimana

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger