Ogopa no Kuchanganya Mapenzi na Kazi...Kajala Amuondoa Mjerumani Konde Gang

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ogopa mno kuchanganya mapenzi na kazi! Saa kadhaa baada ya Harmonize au Konde Boy kumtangaza Kajala Masanja au Mama Paul kuwa C.E.O na meneja wake mpya, meneja mwingine wa jamaa huyo, Beauty Mmari almaarufu Mjerumani anadaiwa kufungasha virago.

Katika ukurasa wake wa Instagram, Mjerumani ameondoa utambulisho wa kuwa yeye ni meneja katika lebo hiyo ya Konde Music Worldwide; kwa kifupi Konde Gang.

Jambo hilo limeacha maswali kwa wadau mbalimbali wa muziki kuwa huwenda akawa ameachana na lebo hiyo rasmi baada ya utambulisho wa Kajala

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad