Wengi walidhani binti huyo hajaridhia Mama yake @kajalafrida kurudiana na @harmonize_tz kutokana na mgogoro uliojitokeza na kupelekea wawili hao kuachana.
Mastaa mbalimbali wamewapongeza wawili hao kwa hatua hiyo.
Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group
0 Comments