6/06/2022

"Pochi ya Wema Sepetu ni Laki Tano" - Bob Junior

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

 


Rais wa Masharobaro Bob Junior anasema pochi aliyomnunulia 'Tanzanian Sweetheart' Wema Sepetu inatoka nchini Italy na ina thamani ya Tsh Laki Tano.

Bob Junior amesema Wema Sepetu ni mtu wake wa karibu na wanashea vitu vingi kama kukumbatiana na ku-kiss wanapokutana.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger