Poshy Qeen "Naomba Nifahamike Kama Mama Sio Dada Mwenye Shepu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


"Gari ya Harrier nimepewa zawadi sijahongwa, haikuwa gari yangu ya kwanza kuendesha nilikuwa na gari nyingine niliyopewa na wazazi wangu, My Boyfriend aliyenipa gari ndio alinipeleka Dubai mara ya kwanza" - @poshyqueeen

Mrembo @poshyqueeen amesema anatamani kufahamika kama mfanyabiashara au mama na sio sifa za kuwa na umbo la shepu zuri kama mashabiki wanavyomtafsiri.

"Inawezekana nilikuwa mwembamba lakini nilikuwa na shepu, watu wanahitaji kunijua zaidi kama 'Business Woman' au mama tofauti na hivi kwamba yule mdada mwenye shepu, ujue kila mtu ana shepu bana ila natamani watu wanijue hivyo, napenda kuitwa Mama najisikia vizuri".
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad