Rais Biden Akisalimiana na Balozi wa Tanzania Marekani Dr. Kanza





Rais wa Marekani Joe Biden akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Marekani Else Kanza Kwenye IKULU ya Marekani (White House) Washington DC.

Ubalozi wa Tanzania Marekani kupitia mitandao yao ya kijamii wameandika kuwa:

“H.E. Joseph R. Biden, Jr., President of the United States of America and H.E. Dr. Elsie S. Kanza, Ambassador of the United Republic of Tanzania to the United States of America at the White House, Washington, D.C. Udumu Uhusiano kati ya Tanzania na Marekani! #Miaka61Pamoja 🇹🇿🤝🇺🇸

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad