6/08/2022

Rais Samia Awaka Jambo Hili Sawa "Mafuta ni Janga la Ulimwengu Mzima Sio la Serikali ya Tanzania Pekee"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

 


Akizungumza na Wananchi wa Bwanga Wilayani Chato, Mkoani Geita Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwasababu ya Vita inayoendelea Nchini Ukraine, bei ya mafuta imepanda duniani kote

Amesema "Bilioni 100 zimetolewa kufidia bei za mafuta zishuke. Mwezi huu bei zimeanza kushuka polepole. Tutaendelea kutoa Ruzuku mpaka duniani kukae sawa. Tutakata Bilioni 100 kila mwezi kwenye matumizi ya Serikali ili kupunguza makali"


Ameongeza "Dunia nzima tunaziambia zile Nchi mbili ziache kupigana kwasababu zikiacha, tutapata unafuu wa mambo mengi. Tulikuwa tunaagiza ngano katika mojawapo ya Nchi zinazopigana, sasa haiwezekani. Nchi nyingine mikate ni kwa mgao"

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

1 comment:

  1. Kwa kuwa hakuna cha maana kimeshuka kwenye hayo mafuta, nashauri serikali isitishe kutoa hizo bmia kila mwezi ili iache soko lijiendesha kwani kuna wasiwasi kuna kizungumkuti kipo hapo. Hii inakuwa kama sadaka, ni ngumu kuziaudit na ni rahisi kuzipiga.

    ReplyDelete

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger