JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Rayvanny amewajulisha mashabiki zake yupo mbioni kuachia video nyingine ambayo ina bajeti ya zaidi ya Shilingi milioni 100 za Kitanzania.
Kupitia insta-story yake Rayvanny ameandika “Filamu nyingine, Zaidi ya Milioni 100,000,000”
Je upo tayari kwa ujio wa video hio?
0 Blogger:
Post a Comment