6/15/2022

Rose Ndauka, Bundi Atoa Kwenye Ndoa yake...Apost Au Jeusi

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

 


Rose Donatus Ndauka; ni mwanamama wa Bongo Movies, Hip Hop na mjasiriamali maarufu nchini Tanzania ambaye watu wa karibu wanasema eti bundi katua kwenye ndoa yake na Hafidh.

Hii ni baada ya Rose kutoa kauli hii; “Maisha ni kufurahi, ukiona mtu anataka kukatishia furaha uliyokuwa nayo, ondoka kwenye maisha yake na utafute furaha yako ya kweli, usikubali kunyanyasika, kisa tu amekuoa……Kuzifikia ndoto ni muhimu…”

Katika kuonesha kwamba, mambo hayapo sawa, Rose amesindikiza ujumbe huo na ua jeusi kama alivyofanya mwanamama Zari The Boss Lady, siku zile alipoachana na Diamond Platnumz.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger